
Daah tumeumaliza mwendo salama ligi kuu Tanzania Bara, mara yetu ya kwanza kushiriki ligi kuu ila tumejifunza vyema. @officiallhabibu KenGold Sc Ndugu zangu wana mbeya tunashukuru kwa Sapot yenu kubwa kwa team changa kutoka chunya mekuwa nasi nyakati ngumu kwenye ligi kuu bila kuchoka. Shukrani za dhati ziende kwa fans wote kutoka Chunya kwani walikuwa bega kwa bega na temu yao ya Chunya. Yes tunarudi rasmi Championship, tumeenda ligi kuu kujifunza tutareje kwa wakati mwingine. Naamini tunajifunza kwa walio tutangulia waliowai kupanda na kushuka kama Ihefu na temu zingine hata kwa mtibwa ambao tunamini wanarejea ligi kuu kwa mara nyingine.
No comments:
Post a Comment