NASEMA KWA MAMA SEHEMU YA 19 na 20*

NASEMA KWA MAMA SEHEMU YA 19 na 20*

?NASEMA KWA MAMA Endeleanayo..... * * "" "" "kwani laini yako ulie mpigia nae ulisajili kwa jina gani.????? Aliuliza Dayana...... " "" "Nilisajili kwa jina la Marehemu babu yangu mzaa mama nikiwa kijijini huko tanga... Kwahiyo hata polisi wakitafuta jina litaonekana ni mtu wa Tanga tena Marehemu... Alijibu Razac... * * " "" Nakuaminia mpenzi wangu hakuna sehemu umewahi kuniangusha hata moja tangu naanza kukufahamu.. Hata kazi ya ndoa unaiweza sana Razac wangu.. Haha haha hahah.. "" " Aliongea Dayana na kucheka kwa sauti sana huku anaendelea kuchezea nywele za kifuani kwa mpenzi wake.. Razac alikuwa kama kaongezea mafuta baada

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...