Mwaka 1977 Ilitoka Filamu Maarufu iliyo kuwa ikizungumzia Maisha ya YESU ,Filamu hii iliitwa “Jesus of Nazaleth”

Mwaka 1977 Ilitoka Filamu Maarufu iliyo kuwa ikizungumzia Maisha ya YESU ,Filamu hii iliitwa “Jesus of Nazaleth”

Mwaka 1977 Ilitoka Filamu Maarufu iliyo kuwa ikizungumzia Maisha ya YESU ,Filamu hii iliitwa “Jesus of Nazaleth” iliigizwa na Raia Wa uingereza Robert Powell.Kuanzia apo Dunia ikaanza kukumbwa na Mtazamo kuwa Sura ya Robert powell ndiyo Sura halisi ya YESU. Miaka miwili mbele Yaani 1979 ilitengenezwa Filamu nyingine ya Maisha ya YESU .mtu mmoja akachaguliwa kuigiza Filamu hiyo Muingereza aliyeitwa Brian Deacon .Filamu hii iliuza Sana Duniani na Watu wakaamini Sura halisi ya YESU ni Ile waliyoiona kwenye Filamu . Picha za Robert powell na Brian Deacon waigizaji walioigiza Filamu ya YESU zikaprintiwa na kuuzwa Kwa wingi .karibu na kila

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...