
?NASEMA KWA MAMA "" "" "" Hapana mama.. Usichukie.. Huyu binti siyo mtu mbaya. Na angekuwa ni mbaya kwako angekuacha hata ufie porini... Kwanini kakusaidia ndio swali la kujiuliza.. Jana amekesha hapa hadi kunapambazuka ili kujua hali yako. Angekuwa ni mbaya kwako sisi tungekwambia ukweli. Mimi ni daktari hapa kwa zaidi ya miaka ishiri sasa. Nimekutana na matukio mengi sana..... Nakuomba msikilize huyu binti huenda ni msaada kwako.... Aliongea Daktari mmoja huku anamtazama yule mama kwa umakini sana... "" "" "Uuuhhhhh.. Kwanza naombeni nipewe dawa nilizohitaji nijitibu upesi kisha mengine yafuate.. Alishusha pumzi yule mama na kuongea.... Nesi alieagizwa alikuwa
No comments:
Post a Comment