NASEMA KWA MAMA SEHEMU YA 13 na 14* *****

NASEMA KWA MAMA SEHEMU YA 13 na 14* *****

???? NASEMA KWA MAMA SEHEMU YA 13 na 14* ***** Lidya aligeuza gari aliyokuwa anaiendesha na kuanza safari ya kuelekea Kibaha.. Akiwa njiani alishika simu yake na kumtumia Frenk ujumbe ili apate picha za huyo mama ambae alipaswa kuonana nae.. "" "Picha zake sina labdaa niende sebuleni kupiga baadhi ya picha zilizopo ukutani.." "" " Frenk alijibu ujumbe... " "" "Sasa hilo ni lakuniambia mimi kweli au ulipaswa kujiongeza tu na kunitumia hizo picha.. Hembu changamka.." "" Lidy alijibu ujumbe kwa haraka huku anaendelea kuendesha gari... Dakika kadhaa baadae alitumiwa pich alizohitaji.. Alizitazama na kuikariri sura ya huyo mama... Aliendelea

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...