
????NAEMA KWA MAMA* *SEHEMU YA 36, 37, * *ILIPOISHIA* ** " "" "Muhusika hapa ni Boss wangu.. Lazima awajibike... Lidya aliwaza kimya kimya na kurudi ndani kisha kupita moja kwa moja hadi kwenye Meza za VIP walipokuwa wamekaa mabosi... *ENDELEANAYO* Alifika mbele kabisa na kusimama mbele ya boss wake.. watu walianza kumshangaa Lidya badala ya kuangalia Show ya uchekeshaji iliyokuwa mbele yao.. Kuna baadhi waliohisi ni msichna mlevi tu kaenda kule mbele au ni miongoni mwa wachekeshaji kaenda kwa kusudi la kutoa burudani pia. Lidya aliendelea kumtazama bosi wake kwa sekunda kadhaa, """ vipi mrembo mbona unakuja VIP wakati ulikuwa
No comments:
Post a Comment