KISURA WA DAMPO???????? (nilizaliwa na kichaa, nikazaa na ceo) Sehemu ya 8 na 9

KISURA WA DAMPO???????? (nilizaliwa na kichaa, nikazaa na ceo) Sehemu ya  8 na 9

SIMULIZI : KISURA WA DAMPO???????? (nilizaliwa na kichaa, nikazaa na ceo) Sehemu ya 8 na 9 “ najua haunitaki ila hata kama haunitaki haupaswi kunambia maneno ya ajabu kama hayo, nikasema kwa sauti ya kilio, na mack akabaki ametoa macho maana hakuwa anaelewa hata nilichokuwa nakimaanisha muda huo, ikabidi aniulize tena kuwa nilikuwa nalia nini… “ kwa hio unaona mimi nikila kama nitamuharibu mwanao, kwanini unaniambia kuwa sitakiwi kula, najua matajiri mnamasimango na sitaki tena chakula chako, nikasema hapo nina hasira balaa… na kiukweli sikuwa najua hata hizo hasira zinatokea wapi, maana kuanzia najiafahamu sijawah kujua kama nina hasira kiasi

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...