
MAUMBILE YANGU YA NYUMA ???? 03&04 Bc nikaandaa zangu chakula ili Kaka akija tule, Kaka akarudi ila hakuwa na raha kabisa, akaniambia Jee hii Dunia ni ya ajabu sana, cjui watu wapoje? Wanapenda kuwaza Negative kwa kila jambo? Nikamuuliza kivip Kaka? Akaniambia watu wamempigia cm mpenzi wake kuwa yeye amereta mwanamke ndani na kesho anakuja kujua mbivu na mbichi,, akaniambia nisijali ataniombea kwa yule jirani ili nilale nae,, bc nikawa mpole nikakosa cha kusema, asbh Kaka aliongea na yule jirani akakubali mm kukaa kwake,, bc kama kawaida nikafanya usafi ndani nikatoa begi langu kupeleka kwa jirani ili akija mwenyewe asinikute
No comments:
Post a Comment