.jpeg)
1 mpk 5 MIMI SIO KICHAA Sehemu ya 1 katika Kijiji Cha Makumbusho ulikuwa Ni msimu wa jua Kali Sana lililo kusababisha ukame na joto na kufanya watu washindwe kukaa ndani walitafuta vimvuli vya miti ili kupata upepo. Kwenye nyumba moja ambayo ilikuwa imezungushiwa uzio wa makuti pia kulikuwa na miti baadhi ya vimvuli na matunda. chini ya mti wa muembe alikuwa anakaa binti Rubina na bibi yake anaejulikana pale kijijini kwa jina la bi Amina . Walikuwa wanapunga upepo mwanana uliyokuja na hewa safi. " Hili jua mwaka huu kiboko mbona tutaiva kwa joto. Rubina aliongea huku akijipepea kwa
No comments:
Post a Comment