MTAMUUUUU KAMA CHOCOLATE???????? SEHEMU YA 9&10"

MTAMUUUUU KAMA CHOCOLATE????????  SEHEMU YA 9&10"

MTAMUUUUU KAMA CHOCOLATE???????? SEHEMU YA 9&10" Basi bwana tuendelee ????????????David baada ya kukabidhi zawadi alituaga akasema ye anaondoka kuna sehemu anataka kuwahi.. Bibi alimzuia akamwambia huwezi kuondoka bila kula hebu ingia ndani tupate chakula kwanza.. Natasha ingia ndani uandae chakula haraka mwenzio anataka kuwahi kwenye mambo yake????. Bibi alimshika mkono devid na kumludisha ndani tuliingia wote pale sebreni ???????? Na bibi akaniambia Natasha naomba nenda uandae chakula mwanangu ale ??????????? Niliingia nikaandaa chakula mezani na kisha niliwakaribisha ???????????? Walikuja mezani na kuanza kula devid alipoonja chakula akauliza bibi chakula nikitam sana nani kapika?????????? Bibi alijibu kapika Natasha anajua sana kupika

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...