MTAMUUUUU KAMA CHOCOLATE ???????? SEHEMU YA 08"

MTAMUUUUU KAMA CHOCOLATE ????????  SEHEMU YA 08"

MTAMUUUUU KAMA CHOCOLATE ???????? SEHEMU YA 08" Bibi alifungua mlango akabaki mdomo wazi????????nini kinaendelea ????????shikamoo bibi tulimuamkia bibi huku nikiwa najaribu kumuongelesha David kwa ishara ili anishushe chini???????? Tuliaa????????siwezi kukushusha kwa sababu umeumia????????Bibi alimuuliza David kulikoni mbona umembeba eeh baba?? David alimwambia bibi samahani naitwa David mimi ni bosi wa Natasha... Tulipokuwa kazini alianguka bahati mbaya ila usihofu nimesha muhudumia vizurituu.. Oh nini kimetokea karibuni ingieni ndani bibi alitukaribisha ndani David aliingia huku amenibeba akaniweka kwenye kochi oops mshnz huyu ????????kweli mpnz kikohozi???????? Natasha kesho naomba upumzike nitakuja kukuona tuu sawa ukae nyumbani mpaka utakapopata ahueni???????? Nilijibu kwa sauti ya

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...