MTAMUUUUU KAMA CHOCOLATE ???????? SEHEMU YA 13"

MTAMUUUUU KAMA CHOCOLATE ????????  SEHEMU YA 13"

MTAMUUUUU KAMA CHOCOLATE ???????? SEHEMU YA 13" Ni kweli unataka kuondoka??...aliuliza.. Ndioo we si umeninunia????????unanileta sehemu ngeni alafu huniongeleshi ndo nini???????? I'm sorry sweetheart wala hata sijakununia naanzaje sasa kukununia Natasha wangu.. David alinishika mkono tukaanza kutembea mdogomdogo kuelekea pale alipoegesha gari.. Unapajua hapa ni wapi??????????aliuliza. Wala hata sipajui ila ni pazuri sana ndoto yangu ni kuja kuishi kwenye mazingira kama haya???????? Jumba kubwa???????? mazingira matulivu mtaa wa kishua napenda sana sehemu ka hizi???? Kweli??? Aliuliza nikamwambia ndioo kweli.. Wow karibu sana Natasha hapa ni nyumbani kwangu na nikishakuoa tutaishi wote hapa???? Unasema kweli??? Hili jumba ni la kwako David??

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...