MTAMUUUUU KAMA CHOCOLATE ???????? SEHEMU YA 12"

MTAMUUUUU KAMA CHOCOLATE ????????  SEHEMU YA 12"

MTAMUUUUU KAMA CHOCOLATE ???????? SEHEMU YA 12" Baada ya David kuweka mgomo wa kumuoa Binamu yake ambaye ndo familia yake ilimpitisha kuwa mke wa kijana wao???????? Familia ilimhoji juu ya huyo mchumba anaempenda ni wa wapi na je ni mwarabu?????????? Si hilo tu je familia yake ni tajiri?????????? Mama weee mbona kama kitumbua kimeingia mchanga sa itakuwaje na ndo tyr nishapnda????????kibaya zaidi sina sifa hata moja..???????? Mimi ni mweusi muafrica na ni masikini????????sijui kama nitakubalika miee????????karoho kalinidunda asiwaambie mtu???????????? Devid alijibu huyu sio mwarabu???????? nimweusi tuu na hana shida???????? nampenda hivyo hivyo sihitaji mambo ya mali mimi mwenyewe ninamali inatosha

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...