
MTAMUUUUU KAMA CHOCOLATE ? ? SEHEMU YA 05" & 06" Nilipoingia kilikuwa chumba kizuri sana kinavutia hatari kinakilakitu ?? Waliniwashia kiyoyozi nikawa naendelea kumsubili bosi pale na chakula na vinywaji waliniletea ? Nilikula na kunywa zangu juice nikawa nimesimama dilishani nikitazama nje ?? Nilistuka naguswa kiun?? kisha nikakumbatiw kwa nyuma aiiiiiishhhhh????niligeuka haraka nikakutana uso kwa uso na Dady David? Aalismail tuu?kisha akaniambia wewe nimuoga sana mbona umeshtuka kiasi hiko??? Nilimjibu hapana sio muoga nikatabasam?? Aliitikia na kuniambia tuketi Nilikaa na kumwambia nilikuwa nakuomba bosi David sana yule dada mludishe kazini nitachukiwa jamani?? Devid alinitizama na kuniuliza kwanini unahurumia mtu aliyekukosea??
No comments:
Post a Comment