MTAMUUUUU KAMA CHOCOLATE ???????? SEHEMU YA 02

MTAMUUUUU KAMA CHOCOLATE ????????  SEHEMU YA 02

MTAMUUUUU KAMA CHOCOLATE ???????? SEHEMU YA 02" Tulipofika kwenye hiko kisehemu nilimuona mkurugezi amekaa hapo huku anakula chakula chake taratibuu???????? Nilimsalimia kisha aliitikia na kumwagiza yule jamaa alonipeleka akaniletee kuku na juice ninayo kunywa???????????? Nilimwambia hapana nitaenda mimi bosi???????? Alijibu hapana tulia hapa mimi ndio nimekuita na namtuma yeyote nimtakae sawa?????? Nikamwitikia sawa bosi kisha nilikaa huku nikimuogopa sana nilikuwa natetemeka kindani???? aliniuliza unaitwa nani mrembo???????????? Nilimjibu naitwa Natasha bosi???????? Kabla sijamaliza kutamka neno boss nikashangaa nafanyiwa shhhhiiiiii???????????? Niite David sawa Niliitikia sawa David ???????? Aliniuliza Natasha unakaa wapi???????? Nilimjibu nakaa buguruni rozana ???????? David akaniuliza tena unaishi nanani ????????

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...