.jpg)
MPENDA NDEFU 10 ?? WhatsApp……...0613083801 Umri………………..18+ ENDELEA........ Mbele ya hela nilianza kushawishika, nilimshirikisha kuwa tayari na kibanda cha matunda lakini Mke wa Boss alinishauri niweke mtu wa kuwa ananisaidia. Nilivyokuwa mjinga nikakubali kwenda kuishi nyumbani kwake tena, kiufupi kati ya maamuzi niliyowahi kufanya ya kijinga basi ni yale maamuzi kwani yalinikuta makubwa kuliko yaliyonikuta mwanzo na ndani ya nyumba ya Mke wa Boss yalitokea machafuko yakusikitisha zaidi na ya kuumiza. Biashara yangu niliamua kumkabithi Amina ili anisaidie maana yeye hakuwa na kazi nyingi kama ilivyokuwa kwa Eliza dada yangu, basi nilirudi kwenye nyumba ya Boss kwa mara nyingine tena na
No comments:
Post a Comment