.jpg)
MPENDA NDEFU 09 ?? WhatsApp……...0613083801 Umri………………..18+ ENDELEA........ Siku hiyo ilipita na siku iliyofata nilifungua kaduka kangu kadogo kamatunda ila biashara ilikuwa ngumu mno yaani niliwauzia watu wawili tu, Nilijikuta nikikata tamaa mwenyewe na kuamua kufunga mapema. Kwakuwa hapakuwa mbali na sehemu tuliyokuwa tukiishi basi nilielekea nyumbani lakini sikumkuta dada, niliingia ndani ya chumba chake na kujiandaa kwa ajili ya kwenda kuoga ila bahati mbaya alifika shemeji na kunikuta nikiwa kwenye maandalizi ya kwenda kuoga na mapaja yote yalikuwa wazi. "Shemeji kumbe upo ndani!?" "Ndio Shemeji!" Nilijikaza na kujifunga kitenge maana kama kuona tayari alikuwa ameshaniona na isingebadilisha kitu. "Mwenzako kaenda
No comments:
Post a Comment