MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 21 Mtunzi…………….SIMULIZI ZA ZOOPER

MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 21 Mtunzi…………….SIMULIZI ZA ZOOPER

Story……………….MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 21 Mtunzi…………….SIMULIZI ZA ZOOPER Whatsap………....0613083801/0748697173 Umri………………..18+ ENDELEA......... "Bora nimekuona kwanini uliamua kwenda moja kwa moja bira ata kurudi kuomba nikurudishe kazini!?" "Kasimu wewe sindio ulinifukuza kisa nilikataa kufanya mapenzi na wewe!?" "Ni kweli ila ata hivyo nataka tuelewane Fatuma, nipo tayari kukuhonga ata gari ila ukubali kufanya mapenzi na mimi kwa mara nyingine" "Mmmh hapana kwakweli wewe unafanya kwakukomoa, kamtafute mwanamke mwingine" niliongea na kuanza kuondoka ila Kasimu aliniwahi na kunizuia. "Fatuma kuwa mwelewa!!, nitakupa gari ila ukubali kufanya mapenzi na mimi walau mara moja tu" "Mbona umeng'ang'ania sana kuna kitu gani umepanga Kasimu!? basi nimeshafanya maamuzi sipo

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...