MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 20

MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 20

Story……………….MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 20 Mtunzi…………….SIMULIZI ZA ZOOPER Whatsap………....0613083801/0748697173 Umri………………..18+ ENDELEA......... Masaa kadhaa yalipita na mida ya jioni ilipofika nilipigiwa simu na mpiga alikuwa ni mama, kiukweli sikuwa na uwezo wa kuipokea hivyo nilibaki nikiwa naitazama simu yangu. Mama alipiga zaidi ya mara tano na alipoona sitaki kupokea simu aliamua kunitumia ujumbe akinitaka niende nyumbani haraka na upesi. Siku iliyofata nilienda nyumbani na nilipofika mama alianza kunitupia lawama huku akinilaumu kwa kosa la kuchepuka na shemeji Rashidi. "Mama sikuwa na njia nyingine niliingia kwenye mtego wa shemeji" "Mtego upi Fatuma, mpaka unamvulia nguo kwani ulikuwa hujui kama yule ni shemeji yako!?" "Ni

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...