
Story……………….MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? (18 & 19) Mtunzi…………….SIMULIZI ZA ZOOPER Whatsap………....0613083801/0748697173 Umri………………..18+ Sehemu ya 18 ENDELEA......... Kuna nafsi nyingine ilinizuia kufanya kile alichoniambia shemeji Rashidi ila kwa wakati huo shemeji Rashidi niliona ndiyo msaada wangu mkubwa, niliamua kwenda kuufungua mlango na kuuacha wazi ili shemeji Rashidi asipate shida kuingia. Kiufupi sikutaka kujali kama shemeji Rashidi ni mme wa dada. Nilitamani kazi pia sikutaka kuishi maisha magumu. Baada ya kuufungua mlango nilirudi kitandani na kulala, nilipitiwa usingizi na katikati ya usingizi nilisikia makalio yangu yakipapaswa na mtu, moja kwa moja nilitambua kuwa ni shemeji Rashidi. Moyoni nilijua namkosea dada ila sikuwa na njia
No comments:
Post a Comment