MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 17

MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 17

Story……………….MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 17 Mtunzi…………….SIMULIZI ZA ZOOPER Whatsap………....0613083801/0748697173 Umri………………..18+ ENDELEA......... Shemeji Rashidi alikaa kimya kwa mda na baadae aliongea. "Ni kweli kabisa nilimtaka Fatuma niwe muwazi kwako mama, kuna sababu zilizonifanya nimtake Fatuma licha ya kuwa nimemuoa ndugu yake" Shemeji Rashidi aliongea mbele ya mama pasipo kuwa na aibu. Hiyo siku ndiyo niliamini kwenye hii dunia kuna watu wanaojiamini, Shemeji Rashidi pia ni mmoja wao kwani alikuwa akijiamini mbele ya mama labda kwakuwa alikuwa ni mwanamke maana ndiye mzazi pekee tuliyekuwa nae. Mama alimuuliza sababu iliyomfanya atake kutoka na mimi kimapenzi na shemeji Rashidi alimwambia ni kwa sababu ya dada Aisha

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...