
Story……………….MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 14 Mtunzi…………….SIMULIZI ZA ZOOPER Whatsap………....0613083801/0748697173 Umri………………..18+ ENDELEA......... Kwakuwa tayari nilikuwa na uhakika na kazi baada ya kupewa ahadi siku iliyofata niliamuacha kuacha kazi nilipokuwa nikifanya mwanzo kwa kuandika barua na kwenda kuikabizi na kuondoka, nilifika nyumbani kwangu ikiwa ni mida ya saa 7 mchana na kuingia ndani. "Mmmh bora kabisa niwe mbali na shemeji Rashidi hii itasaidia sana" niliongea mwenyewe na simu yangu iliita, mpigaji alikuwa ni Nasir, sikutaka kupokea simu zaidi ya kuiangalia. Baada ya saa moja kupita nilisikia mlango ukigongwa wa nyumba niliyokuwa nikiishi, pasipo kuuliza nilienda kuufungua, mtu aliyekuwa amesimama nje alikuwa ni shemeji Rashidi.
No comments:
Post a Comment