
Story……………….MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 13 Mtunzi…………….SIMULIZI ZA ZOOPER Whatsap………....0613083801/0748697173 Umri………………..18+ ENDELEA.......... "Ndio dada na ameondoka mda sio mrefu nazani atafika hapo nyumbani mda wowote ule" niliongea huku nikimwangalia shemeji na baadae dada alikata simu. "Kwanini umeamua kumuambia hivyo dada yako!?" "Kwani kuna ubaya shemeji yule si mke wako!? anahaki ya kufahamu kuhusu hili" "Sawa leo naondoka ile kesho usiku nitakuja kulala hapa" shemeji Rashidi aliongea na kuondoka. Baada ya kuondoka nilifungua mlango na kuingia ndani. Niliwaza nitumie njia gani ili niwe mbali na shemeji Rashidi na njia pekee niliyoona inafaa nikufanya kazi sehemu nyingine ili niwe huru. Nilianza kutafuta kazi sehemu nyingine
No comments:
Post a Comment