MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 12

MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 12

Story……………….MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 12 Mtunzi…………….SIMULIZI ZA ZOOPER Whatsap………....0613083801/0748697173 Umri………………..18+ ENDELEA......... Nasir aliniachia baada ya kumuona Shemeji akija upande wetu. "Bora ata umekuja ivi unaakili kweli wewe jamaa!? huyu si shemeji yako sasa kwanini unamtaka kimapenzi!?" Nasir alimuuliza na mimi niliona kuna hatari ya ugomvi kutokea baina yao hivyo niliondoka maeneo hayo na kuwaacha wenyewe. Sikujua kilichoendelea pale ila tangu siku hiyo mimi na Nasir hatukuwa kwenye mawasiliano, siku zilizidi kwenda huku nikiendelea na kazi lakini ndani ya moyo wangu sikuwa na amani kabisa ya kufanya kazi sehemu moja pamoja na shemeji Rashidi hivyo nilianza kutafuta kazi sehemu nyingine pasipo kumshirikisha mtu

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...