MAPENZI NDANI YA GEREZA (20) ??

MAPENZI NDANI YA GEREZA (20) ??

Story………………..MAPENZI NDANI YA GEREZA (20) ?? WhatsApp……...0613083801 Umri………………..18+ Asante kwa kufatilia story hii, tafadhali soma sehemu iliyopita ili ufurahie hii sehemu zaidi….. ENDELEA...... Tuliendelea na kazi ya kufyeka na baada ya kumaliza tulirudishwa selo. Monica alikuwa bado hajarudishwa selo. Baada ya mda Monica alirudi na kuingia selo huku akiwa ni mwenye aibu balaaa. Mimi na Asha tulitazamana na Asha alinifinya na kuongea. "Tayari mtu katoka kuliwa huko!" "Nyamaza sio lazima kuongea" Nilimjibu Asha. Monica siku hiyo alikuwa mpole balaa, na mfungwa mmoja alimkanyaga bahati mbaya lakini Monica hakuongea kitu, nahisi alikuwa akiwaza raha alizotoka kupewa, japo tulimchukulia kuwa yeye ni

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...