
Story……………….MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 10 Mtunzi…………….SIMULIZI ZA ZOOPER Whatsap………....0613083801/0748697173 Umri………………..18+ ENDELEA......... Baadae alitupita nakuendelea na safari. "Fatuma leo usiku nakuja kulala kwako kipenzi" Nasir alizungumza. "Nilishakwambia mpaka ndoa ndiyo utapata utamu Nasir kuwa mwelewa tafadhali!!" "Kwani bado bikra mpaka uniambie mpaka ndoa!!?" "Sio bikra ila tu nimeshafanya maamuzi Nasir kama unanipenda utafata maamuzi yangu" "Sasa kama sio bikra kwanini ukatae kulala na mimi au hunipendi!?" Nasir aliongea kwa kulalamika akitaka nikubali kumpa tunda la kati. "Kwani kuna shida gani tukioane alafu unile mpaka unikinai mwenyewe!?" "Hakuna ubaya wowote ila sio haki hii Fatuma kabisa!! kama mwanaume aliyekutoa bikra ulikubali kumpa kwanini isiwe
No comments:
Post a Comment