MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 09

MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 09

Story……………….MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 09 Mtunzi…………….SIMULIZI ZA ZOOPER Whatsap………....0613083801/0748697173 Umri………………..18+ ENDELEA.......... Sio kwamba nilikuwa napenda kuona akiwa na mchepuko na ukizingatia ni mme wa dada ila nilitaka kikombe kiniepuke cha shemeji Rashidi kunitaka kimapenzi, niliona bora awe anatoka na mtu mwingine kuliko mimi, nilijua siku dada Aisha akigundua basi lazima undugu ufe. Licha ya kumwambia shemeji kuwa nitamtaftia mchepuko mwenye makalio makubwa haikumfanya aache kufanya kile alichokuwa amethamilia, alivua nguo zake nakubaki uchi kisha baada ya hapo aliniambia. "Fatuma njoo tulane kwa mara ya mwisho kabra hujanitafutia zigo jingine" "Mmmmh shemeji hapana kwakweli" nilimjibu huku nikipandisha mabega yangu juu ishara ya kukataa.

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...