MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 07

MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 07

Story……………….MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 07 Mtunzi…………….SIMULIZI ZA ZOOPER Whatsap………....0613083801/0748697173 Umri………………..18+ ENDELEA......... kutokana na mimi kufanya kazi sehemu moja na Shemeji Rashidi, alihamishia usumbufu wake kazini, , alikuwa akinisumbua akitaka tucheze michezo ya kikubwa mpaka ilifika kipindi nilikuwa sitamani kukutana nae nikiwa kazini. Siku moja nikiwa sina hili wala lile kwenye chumba cha wauguzi shemeji Rashidi aliingia nakunikuta nikiwa peke yangu. "Fatuma naona sasa ivi unataka kunipanda kichwani" "Shemeji nimeshasema hapana!!, naomba uwe mwelewa, siwezi kukuvulia nguo zangu tena" "Ohhhh!!! safi kabisa basi subiri utajionea mwenyewe" Shemeji Rashidi alizungumza na kutoka kwenye chumba cha wauguzi huku akiufunga mlango kwa hasira. "Bhana eeeh!!! atajijua

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...