MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 06

MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 06

Story……………….MMMMH...SHEMEJI HAPANA!!!?? 06 Mtunzi…………….SIMULIZI ZA ZOOPER Whatsap………....0613083801/0748697173 Umri………………..18+ ENDELEA......... Nilifika mpaka nje na kutapika na baada ya mda nilirudi ndani na dada Aisha aliniuliza. "Kitu gani kinachokusumbua Fatuma mdogo wangu!?" "Nipo sawa tu dada ila nilishikwa na kichefuchefu na kwenda kutapika nje" nilimjibu lakini shemeji Rashidi alikuwa kimya na aliamua kuondoka pasipo kuongea neno lolote lile. Basi usiku ulifika na ulikuwa ni mda wa kulala hivyo nilienda kulala kwenye chumba changu na kuufunga mlango ili shemeji Rashidi asiweze kuingia. nilipanda kitandani na kulala na ilipofika mida ya saa 8 usiku nilianza kusikia mlango ukigongwa kwa mbali na moja kwa moja

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...