
? ?MKE WA MGANGA 06 Tulipoishia Nilipofika ndani, upepo wa nguvu uliingia ukifuatiwa na kelele za kutosha halafu kama zimwi niliona mganga ametokea mbele yangu akiwa amefura hasira usoni “Haaha….unataka kwenda wapi kijana” Mganga aliniambia mimi sikuweza kujibu chochote nikabaki namtazama huku nikitetemeka na kurudi nyumba mpaka wenye kitanda nikaketi bila taarifa ENDELEA “Nimekuja kwako leo, nimeshaona mmekolea sana katika mapenzi, samahani sana, mapenzi yanauma kuliko kitu chochote, hivyo unapoendelea kutembea na mke wangu roho inaniuma hivyo nimekuja kwako kukupa onyo kwamba uachane na Zuhura yule ni mke wangu….. na ejapo ukiendelea naye magumu yatakukuta kijana…” alisema mganga na kupotea
No comments:
Post a Comment