
?MKE WA MGANGA 01 ?©? ? Niliteswa sana na maisha baada ya kufiwa na wazazi wangu wote waliokuwa wamefariki katika ajali ile ya MV Spice miaka saba iliyopita, nilichanganyikiwa maana nilibaki nyumbani peke yangu kwa sababu nilikuwa mtoto pekee wa kiume na dada zangu wanne walikuwa wote wameshaolewa na wanaziendesha familia zao Nilijaribu kumpigia simu dada yangu mmoja ambaye kidogo alikuwa anajiweza nikamuomba mtaji wa shilingi laki mbili nikaanzisha biashara ya kuuza mitumba katika mji wetu mdogo wa Igunga kwa majina naitwa Festo Hamisi. Baada yaa kuingia katika biashara ya mitumba niliweza kuifanya ndani ya miezi mitatu ikafa ile biashara,
No comments:
Post a Comment