
KAKA NAKUPA USISEME ?EPISODE 1 ?Kwa majina naitwa Maimuna. Miaka ishirini na nne. Ni msichana wa kawaida, mwenye sura ya kupendeza, umbo lililojaliwa na Mungu na macho ya kuvutia yanayoweza kumteka mwanaume bila hata kumgusa. Nilizaliwa Kigoma, nikalelewa kidogo Singida kisha maisha yakanikimbiza Dar es Salaam. Nipo hapa kumalizia chuo, lakini hadithi yangu si ya shule wala darasa ni hadithi ambayo mwenyewe sielew nisemaje ila utachagua mwenyewe unitukane au unipige ila mimi sijali ........ ? ?Nilipanga kuishi na kaka yangu mkubwa aitwaye Ramadhan. Alikuwa na familia yake, lakini mke wake, dada Shemsa, alikuwa safarini kikazi nje ya nchi kwa muda
No comments:
Post a Comment