
???? ????MKE WA MGANGA 11 Asubuhi na mapema niliamka nikiwa najisikia hovyo hovyo, na niliamka mapema kwa sababu nilikuwa nimepigiwa simu na Ba Fetina kuna sehemu alitaka niende nikapige kazi fulani, Ba Fetina alinifaa sana. Tena siku ile ilikuwa ni siku ya jumamosi, hivyo nilikuwa naenda kupata pesa za kula wikiendi kabisa. Nilpiga mswaki wangu vizuri, nikanyesha mboga halafu nikatoka na kwenda kwa Ba Fetina. Nilipofika kwa Ba Fetina, nilimkuta ndo anakunywa chai yeye na mkewe pale sebuleni, Fetina alikuwa nje anapiga mswaki “Za asubuhi jamani” niliwatakia hali “Salama kabisa, vipi huko kwenu?” mama Fetina alisema na kuinuka akatoka nje
No comments:
Post a Comment