MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........30(FINAL)

MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........30(FINAL)

Story......................MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........30(FINAL) Whatsapp..............0613083801 ilipoishia...... Diana alifika mpaka nyumbani na kumfanya Mr.James ashangae kwa ujio wa binti yake tena wa bira kutoa tarifa zozote zile.............. ENDELEA NAYO....... Diana alifika mpka nyumbani kwao na kukaa kwenye kochi huku akilia na haikupita mda driver tax aliingia akiwa na mabegi yake na kumuomba kiasi cha pesa alichokuwa anakidai ila Mr.James aliweza kumlipia mwanae na ndani akabaki yeye na binti yake baada ya driver tax kuondoka. Kiufupi Diana aliumia sana kufika na kukuta Albert ameshaoa tena aliyemuoa ni mdogo wake ambae ni Angelina alichukia sana na kujikuta akitengeneza kisasi na ndugu yake kwa

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...