
Story......................MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya............29 Whatsapp..............0613083801 ilipoishia.... Nchini Canada tunamwona mwanadada Diana akiwa airport na akijiandaa kwa ajili ya kurejea Tanzania..... ENDELEA NAYO...... Diana alipanda ndege kwa ajili ya kulejea Tanzania na akiwa ndani ya ndege kitu cha kwanza alichokiwaza ni kuonana na Albert na alikumbuka jinsi mwanaume yule alivyokuwa akimjali tangu wanasoma wote na ata alivyokuwa na matatizo ya kiafya ndani ya nafisi yake alikili maneno aliyowahi kuambiwa na baba yake siku ile kuwa Albert ni mwanaume anayetakiwa awe naye yalikuwa ni maneno ya kweli wa asilimia mia. Diana alipanga kwenda kuweka mambo sawa ili aweze kufunga ndoa na Albert
No comments:
Post a Comment