MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........28

MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........28

Story......................MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........28 Whatsapp..............0613083801 ilipoishia....... hasira zilimshika na kuwasha gari lake aliliondoa kwa kasi akiwafata wao walipo tena wakiwa hawana habari kama kuna gari nyuma yao inayokuja kwa kasi............ ENDELEA NAYO...... Gari ilikuwa ikija kwa kasi na bahati nzuri Doctor Tayler aliweza kusikia sauti ya gari hilo aligeuka nyuma na kuona gari ikiwafata haraka alimvuta Diana pembeni na yeye kusogea pembeni huku gari ikiwakosa kidogo tu kuwagonga. Gari ilienda mpaka mbele na kusimama kisha alishuka mwanadada Naisha tena akiwa kwenye hasira isiyo ya kawaida nakuwafata, "Huyu ndiyo mgonjwa uliyekuwa unaniambia Tayler?, nimewafatilia toka mda mrefu sana na dalili zote

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...