MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........27

MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........27

Story......................MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........27 Whatsapp..............0613083801 iliyopita....... Naisha alivyotoka kwa Doctor Tayler alienda moja kwa moja kwa rafiki wa doctor tayler ili amuulize kile kinachoendelea kati ya Doctor Tayler na mwanadada Diana...... ENDELEA NAYO....... Naisha alifika kwa rafiki wa Doctor Tayler na kuanza kumhoji lakini hakuambulia chochote zaidi ya kuambiwa kuwa Doctor Tayler anafanya kazi ya kumtibu mwanadada Diana na hamna kingine kinachoendelea zaidi ya hicho, aliondoka huku akiwa na mpango wa kufatilia mwenyewe bira kusaidiwa na mtu yoyote yule. Naisha aliamua kuishi karibu na nyumba ya wanaokaa, Doctor Tayler pamoja na Diana ili afatilie na kujua ni kipi kinachoendelea kati

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...