MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........26

MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........26

Story......................MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........26 Whatsapp..............0613083801 ilipoishia...... Mary alivyosikia anataka kuchomwa sindano yanye sumu alitaka kukimbia lakini alikuwa ameshawekwa katikati na sindano ililetwa kwa ajili ya Mary kuchomwa...... ENDELEA NAYO........ Sindano ililetwe na baba mzazi wa Albert akaishika na kumsogelea Mary, "Usinichome nakuomba bado napenda kuishi tafadhali,nitamtoa mtoto wako na kesi nitaifuta,na kingine nakuahidi sitaisogelea tena familia yako", maneno yalimtoka Mary akijijitetea lakini haikusaidia kitu mzee alizidi kumsogea na kuamlu vijana wamshike ili amchome sindano. Vijana walimshika na sindano ililetwa Mary akachomwa, "Hii sindano ina masaa 6 tu wewe kuweza kuendelea kuishi unachotakiwa kufanya ni kwenda polisi kwa miguu yako mwenyewe

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...