MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........25

MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........25

Story......................MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........25 Whatsapp..............0613083801 Doctor Tayler alishika mkono wake na kujaribu kuangalia kwa utaalamu anaojua yeye ndani ya mda mfupi tu aliweza kugundua kitu kilichomfanya ata yeye jasho lianze kumtoka huku akiwa na wasiwasi wa hali ya juu...... ENDELEA NAYO.... Doctor Tayler alikuwa na wasiwasi na ata Diana aliliona hilo, "Tatizo nini kipenzi mbona umekosa raha gafra na umegundua kitua gani kinachonisibu",Diana alitamani kujua ni kitu gani kilichomfanya mpezi wake awe na wasiwasi kiasi hicho. "Diana hamna tatizo lolote lile sema unahoma kali sana hapo ulipo na inatakiwa nikutafatie dawa haraka sana uweze kutumia",Doctor Tayler aliongea na mda huo

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...