
Story......................MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........24 Whatsapp..............0613083801 Ilipoishia......... Angelina hakuamini kusikia yale maneno kutoka kwa kijana Stewart na alipomtazama usoni macho ya stewart yalimaanisha kile alicho kizungumza kina ukweli, Angelina alifungua kichwa chake na kuongea...... ENDELEA NAYO...... "Stewart nashukuru sana kwa kunipa nafasi katika moyo wako nikupongeze kwa kushindwa kuficha hisia zako kiukweli nakupa hongera kwa hilo, lakini kwa sasa sipo tayali kuingia kwenye mahusiano ya aina yoyote ile na wala kuufungua moyo wangu kwa mwanaume yoyote yule ni ngumu kwa sasa, nivyema ukanisahau na kumtafuta mtu ambae atajali hisia zako na kukupenda kwa dhati", Angelina baada ya kuongea hayo maneno hakutaka
No comments:
Post a Comment