MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........23

MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........23

Story......................MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........23 Whatsapp..............0613083801 Sehemu iliyopita..... Diana aliongea na alimaanisha kile alichokiongea mana tayali alikuwa kwenye penzi zito kwa wakati huo na doctor Tayler......... ENDELEA NAYO...... Mr.James hakuwa nacha kuongea tena kwa binti yake zaidi ya kumuacha afanye maamuzi mwenyewe aliyoona ni sahihi kwake, alikaa kwa siku kadhaa na ata yeye akiwa kama mtu mzima alikuwa ameshaanza kuona kuna kitu kinachoendelea kati ya Diana na doctor Tayler. Mpaka anarejea Tanzania alikuwa ameshaona mabadiliko makubwa kwa binti yake hasa ukaribu aliokuwa nao kwa Doctor Tayler. Diana penzi la doctor Tayler lilimnogea wakiwa wamekaa pamoja Diana aliamua kufunguka kile kilicho moyoni

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...