MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........22

MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........22

Story......................MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........22 Whatsapp..............0613083801 ilipoishia..... Angelina kitu kilichomfanya acheke ni kuona mtu ambae ata hamjui alafu anamtumia ujumbe wa kumwambia kuwa anampenda ila kwa kuwa ni Miss Tanzania wa mwaka huo jumbe kama zile aliona ni kitu cha kawaida tu kutumiwa........ ENDELEA NAYO..... hakutaka kujibu ujumbe ule zaidi ya kuufuta na  namba aliiblock kabisa nakuendelea na ratiba zigine. Siku iliyofata asubuhi na mapema aliongozana na Manka mpaka mahakamani akiwa na karatasi zenye mikataba ya kazi ya kampuni aliyoingia nayo mkataba akipinga kwenda kufanya kazi nje ya makubaliano yao, alifungua kesi na baada ya kesi kufungulia manager alizipata zile tarifa

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...