MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........21

MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........21

Story......................MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........21 Whatsapp..............0613083801 ilipoishia.... Waliekea kwenye ndege Diana akiwa na Mr.James na ata nyumba yao iliachwa chini ya uangalizi wa Angelina na Mwanamama Beatrice....... ENDELEA NAYO...... Angelina na mama yake waliamua kurudi mpaka nyumbani huku wakiwa na matumaini ya Diana kurudi Tanzania akiwa ameshatibiwa tatizo la miguu linalomsumbua na kurudi katika hali yake kama zamani. "Griiigriiigriiii",ni mlio wa simu wa mwanadada Angelina aliyeamua kupokea baada ya kuona namba ngeni iliyompigia, "Hello, Miss Tanzania unaongea na Big Don", sauti ya mwanamziki huyo mashuhuli ilisikika masikioni mwanadada Angelina. "Unashida gani na mimi na nilikataa kufanya kazi na wewe  Big Don",Angelina

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...