MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........20

MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........20

Story......................MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........20 Whatsapp..............0613083801 "Diana!!",Angelina aliuliza kwa mshangao na alishindwa kumuelewa mama yake anamuongelea Diana yupi na ata Stewart nae alishituka baada ya kusikia jina la Diana...... ENDELEA NAYO....... Mwanamama Beatrice aliamua kumchukua mwanae Angelina na kwenda nae mpaka chumbani Ili wakafanye maongezi, "Mwanangu najua unamjua vizuri sana Diana uliyekuwa ukishindana nae kwenye mashindano ya kumtafuta Miss Tanzania,naomba uamini maneno yangu yule ni dada yako na wote nyinyi ni ndugu",Mwanamama Beatrice aliongea na kumfanya Angelina asiamini kile alichoweza kukisikia. "Mama utakuwa umekosea yule hawezi kuwa ndugu yangu mana mimi na yeye damu zetu haziendani ata kidogo",Angelina hakukubaliana na maneno

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...