MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........19

MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........19

Story......................MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........19 Whatsapp..............0613083801 Ilipoishia...... Mr.James alimweleza Beatrice hali ya mwanae Diana  ya ulemavu alionao na hii kumfanya Mwanamama aumie sana ndani ya moyo wake baada ya kupokea tarifa hizo na aliamua mda huohuo waongozane ili akamuone mtoto wake Diana.... ENDELEA NAYO...... Mwanamama Beatrice aliamua kuongozana na Mr.James akiwa pamoja na kijana Albert na mda ambao walitoka tu mwanae Angelina aliweza kuwasili akiwa na rafiki yake Manka, Ajabu alivyofika ndani hakumkuta mama yake ikabidi aende kumuuliza mlinzi aliyemwambia kila kitu juu ya mama yake kuondoka na watu waliokuwa wamekuja pale mda sio mrefu. Mwanadada Angelina alirudi ndani alimomwacha rafiki

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...