
Story......................MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........18 Whatsapp..............0613083801 ilipoishia...... damu ni nzito kuliko maji mwanamama katalina alishika mkono wa mwanae nakufuta damu zilizokuwa zikimtoka kwa kutumia nguo yake aliyokuwa amevaa..... ENDELEA NAYO.... Mwanamama Katalina aliamua kumchukua mwanae nakwenda nae nyumbani ila Albert alipanga kuja kufanya kitu kibaya kwa mwanadada Mary. Ndani ya mda mfupi tu waliweza kufika nyumbani na Albert alikumbuka mazingira aliyomwa nayo mwanadada Diana, "Mama ngoja niende kwa Diana kwanza nahitaji kuwa nae karibu kwa sasa",Albert alikuwa amependa kwelikweli ulikuwa humwambii kitu kwa mrembo Diana na upendo wake ulikuwa wa kitofauti kwa mwanadada huyo licha ya ulemavu aliokuwa nao Diana bado
No comments:
Post a Comment