MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........16

MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........16

Story......................MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........16 Whatsapp..............0613083801 ilipoishia......... haikumfanya apunguze upendo wake na hii ilimfanya ata Mr.James aone utofauti wa kijana Albert na kijana Stewart aliyepunguza mazoea ya kuja kumuona Diana kama ilivyokuwa hapo kabra na hii kumfanya aanze kupunguza chuki alizokuwa nazo kwa Albert......... ENDELEA NAYO..... Upande wa kijana Stewart akiwa amekaa na ameshika simu yake macho yake yalikuwa yakitazama picha za Miss Tanzania ambae ni Anjelina hakumkumbuka tena Diana kwa wakati huo na akili zake zilikuwa kwa mwanadada Angelina, "rafiki yako anaendeleaje?", sauti ya mama yake mzazi ilisikika na kumfanya aweke simu pembeni ili ajibu kile alichoulizwa. "Rafiki gani mama?"

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...