MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........15

MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........15

Story......................MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........15 Whatsapp..............0613083801 ilipoishia............. Mwanamama beatrice alimaliza kuongea. ilikuwa ni habari mpya kwa mwanadada Angelina hakuamini kama ana dungu kwenye hii dunia......... ENDELEA NAYO...... "Mama kwani huna tarifa za wapi alipo dada yangu?", Angelina aliamua kumuuliza mama yake. "Mpaka sasa ivi sijui ni wapi walipo mana nilitokea kumchukia James kwa kitu alichonifanyia kwanza alikatisha ndoto zangu za kunifanya nisiendelee na masomo na kama asingekuwa yeye huenda tusingekuwa na maisha haya",mwanamama beatrice alimaliza kuongea. Angelina alikuwa na kazi ya kumtafuta ndugu yake alitamani kumfahamu ni nani na atakuwa wapi kwa wakati huo.               Tarifa za ajali ya Diana zilimfikia

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...