MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........14

MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........14

Story......................MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........14 Whatsapp..............0613083801 ilipoishia......... Mda huohuo alitoka na kwenda katika hospital kuhakikisha kama ni binti yake kweli.... ENDELEA NAYO...... Mda huohuo alitoka na kwenda katika hospital kuhakikisha kama ni binti yake kweli. "Hapana Diana mwanangu huwezi kuwa kwenye hiyo hali, ikiwa bado sijakwambia ukweli kuhusu mama yako ni wapi alipo naomba uendele kuwa mzima tafadhali",ni maneno ya Mr.James aliyaongea huku akiendesha gari kuelekea hospital.                   Miss Tanzania mpya aliyepatikana mda mchache uliopita au mwite Angelina alikuwa bado ukumbini akiendelea kupiga picha na watu wachache waliokuwa wamebaki pale mana mda huo watu wengi walikuwa wameshaanza kuondoka maeneo hayo ila

Soma zaidi

No comments:

Post a Comment

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7

WATOTO MAPACHA Sehemu ya ,,7 Celena alienda shuleni kwao baada ya mama yake kupata nafuu , alipofika ,akashangaa kuitwa ofisini na kupewa ho...