
Story......................MISS TANZANIA Mtunzi...................Zooper Sehemu..ya...........13 Whatsapp..............0613083801 ilipoishia......... "Mama hii ni lazima naomba tuondoke lasivyo nitakupoteza mama yangu naombe uelewe hiki ninachokwambia" "Utanipoteza kivipi Albert", Mwanamama katalina alimuuliza mwanae... ENDELEA NAYO..... Albert baada ya kuona mama yake hamwelewi anachoongea aliamua kumshika mkono na kumtoa maeneo yale huku watu wengine wakiwaangalia tu. Upande wa Angelina alikuwa akiendelea kupiga picha na washiriki walimwomba wapige nae picha kwa ajili ya kutunza kumbukumbu, Diana aliamua kuondoka na kuelekea kwenye gari lake huku akilivua taji alilokuwa amepewa kama mshindi wa pili na kulitupa chini kwa hasira na kupanda kwenye gari lake, akiwa anajianda kuwasha na kugeuza gari
No comments:
Post a Comment